Barua ya Udhamini wa kazi – Aina na Mfano

Barua ya udhamini? Barua ya udhamini ni barua rasmi inayotolewa na mtu binafsi, shirika, au taasisi kwa ajili ya kuthibitisha uaminifu, sifa, na uwezo wa mtu anayeomba kazi, udhamini wa kifedha, au msaada mwingine fulani. Barua hii hutumika kuonyesha kwamba mdhamini anawajibika kwa mtu anayeombwa, ikiwa ni pamoja na majukumu ya kifedha, na inaongeza nafasi…