Namna Wadukuzi Wanavyolenga Watumiaji wa Mobile Money

Kwa Nini Huduma za Mobile Money Zipo Katika Hatari na Jinsi ya Kujikinga. Matumizi ya huduma za malipo kwa simu (mobile money) yamekua kwa kasi kubwa katika nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania. Huduma hizi zimeleta urahisi mkubwa katika kufanya miamala ya kifedha, lakini sambamba na mafanikio haya, kuna changamoto nyingi za usalama zinazohitaji kushughulikiwa kwa…