JINSI YA KUANGALIA USAJILI WA GARI TRA

Usajili wa gari kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ni mchakato muhimu unaothibitisha umiliki halali wa gari na unahakikisha gari linaweza kufanyiwa shughuli zote za kisheria kama kutembea barabarani, kubadilisha umiliki, na kulipia kodi kwa mujibu wa sheria za Tanzania. TRA imeanzisha mifumo mpya ya kidijitali kuwezesha usajili na uhakiki wa gari kwa urahisi zaidi,…