JINSI YA KUANGALIA NAMBA/USAJILI WA NIDA
Umekuwa ukijiuliza jinsi ya kuangalia namba/ usajili wa NIDA? zijue njia mbalimbali ambazo mtu anaweza kufuata ili kuthibitisha namba yake ya kitambulisho cha taifa (Namba ya NIDA) au kujua kama amerajisisha rasmi na NIDA Jinsi ya Kuangalia Namba ya NIDA Kupitia Tovuti Rasmi ya NIDA Tembelea tovuti rasmi ya NIDA kupitia www.nida.go.tz, au moja kwa moja…