JINSI YA KUPATA TIN NUMBER: MWONGOZO KAMILI
Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (Taxpayer Identification Number – TIN) ni namba maalum inayotolewa na mamlaka ya kodi kwa mtu binafsi au kampuni ili kutambuliwa kwenye masuala ya ulipaji kodi. Namba hii huhitajika katika shughuli nyingi za kiserikali na kibiashara kama vile kupokea leseni za biashara, kufungua kampuni, kufanya tenders, au kuajiriwa katika taasisi…