SMS 40 za Mahaba Makali
Je! unatamani kuboresha penzi lako? Hapa kuna makala ya SMS 40 za mahaba makali zinazoweza kuonesha hisia kali za mapenzi, shauku na upendo kwa mpenzi wako: SMS 40 za Mahaba Makali Wewe ni wimbo ambao moyo wangu unauimba daima. Nafsi yangu ilikujua kabla ya macho yangu. Kama upendo ni ugonjwa wa akili, basi mimi ni chizi…
