SMS 39 za Mapenzi Motomoto
Je! unajua jinsi ya kulipalilia penzi lako li stawi na kudumu milele? Wakati mwingine maneno machache tu yanaweza kuwasha moto wa mapenzi uliolala ndani ya mioyo ya wapenzi. Kuna SMS zinazogusa moyo, lakini pia kuna zile zinazotikisa hisia zile zenye joto la upendo na mvuto wa kipekee. Tuma ujumbe mmoja usiku wa manane, asubuhi yenye…