Nafasi za Ajira Serikalini – Utumishi | Oktoba 2025
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo kuomba nafasi mpya za ajira serikalini kwa mwezi Oktoba 2025. Kuhusu Sekretarieti ya Ajira (PSRS) Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni taasisi ya serikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya…