Nasafi za Kazi za Waliomaliza Form Four Tanzania
Wanafunzi waliomaliza kidato cha nne (Form Four) nchini Tanzania wanayo nafasi ya kuingia kwenye ajira au kujiajiri bila kusubiri elimu ya juu kama vile kidato cha tano, vyuo vya ufundi au vyuo vikuu. Nasafi hizi za kazi ni muhimu kwa vijana wanaotaka kuanza kujitegemea mapema na kuchangia katika maendeleo ya kiuchumi. Hapa chini tunachambua aina…