Vyuo Vinavyotoa CPA Tanzania

Vyuo na taasisi mbalimbali nchini Tanzania vinatoa programu za uhasibu zinazotambuliwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu (NBAA) kwa ajili ya mitihani ya CPA (Tanzania). Kozi hizi ni pamoja na Advanced Diploma in Accountancy (ADA), Bachelor of Accounting (BAC) na programu nyingine za uhasibu na fedha. Orodha ya Vyuo Vinavyotambuliwa na NBAA…