Mstari Mweusi Tumboni Wakati wa Ujauzito
Je unajaua mstari mweusi unaotokea tumboni wakati wa ujauzito ni nini? Mstari wa tumbo la mimba unaojulikana kitaalamu kama Linea Nigra, ni mstari mweusi au wa rangi ya kahawia unaojitokeza katikati ya tumbo la mama mjamzito. Mstari huu mweusi unaopita kwenye tumbo ya mama mjamzito unaitwa kitaalam Linea Nigra. Wataalam wanaeleza kuwa mstari huu upo mwilini…