Jinsi ya Kujua Namba Iliyo Kuhack

Utajuaje kama simu yako imehackiwa na usitishaje? Makala hii itakusaidia jinsi ya kujua nani amekuck na utatoaje hiyo hack. Katika ulimwengu wa sasa wa teknolojia, usalama wa simu na namba ya simu ni muhimu sana. Mtu akipata ufikiaji wa namba yako, anaweza kuhamisha simu zako, kusoma ujumbe wako, au hata kutumia taarifa zako kwa matumizi…