Utajiri wa Diamond Platnumzi

Diamond Platnumz, anayefahamika kwa jina halisi Naseeb Abdul Juma, ni mmoja wa wasanii wenye mafanikio makubwa barani Afrika na mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika tasnia ya muziki Afrika Mashariki. Kufikia mwaka 2025, utajiri wake unakadiriwa kufikia dola milioni 10 za Marekani, sawa na takriban shilingi bilioni 23 hadi bilioni 27 za Kitanzania, kulingana…