Nafasi za Kazi Airtel Tanzania – Oktoba 2025

Nafasi mbili (2) Zimetolewa Unatafuta kazi yenye maana katika sekta ya telecom au fedha? Airtel Tanzania inakaribisha wasomi wenye uwezo kujiunga na timu yake. Nafasi hizi zinakuwezesha kukuza ujuzi wako na kuchangia maendeleo ya kampuni inayotetea uvumbuzi na huduma bora Afrika Mashariki. Kuhusu Airtel Tanzania Airtel Tanzania Limited ni miongoni mwa makampuni makubwa ya mawasiliano…